New hit hip hop song from Izzo bizness "Rafiki"

New hit hip hop song from Izzo bizness "Rafiki"

Kifurukutu

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2013
Posts
4,641
Reaction score
6,694
Mnyamwezi wa mbeya Izzo bizness karudi kwenye misingi yake baada ya kupoteza radha yake ile tuliyomzoea

sasa kaamua kweli kwa hili ngoma lake mpya kabisa "Rafiki" jamaa kamaliza kila kitu, na hii ni special kwa wale masnitch wote wanaobana hawapendi full unaaa mwanzo mwisho iwafikie hii toka kwa izzo b
New Audio | Izzo Bizness - Rafiki | Download - KIDEBWAYMNYAMATZ
 
Anatoa nyimbo nyingi sana kwa kipindi kifupi kama tumeoana Leo, inabidi aweke interval ya muda au ndio kutokujiamini
kwa sasa suala la ngoma nyingi mfululizo kwa msanii haliepukiki!

Maana hawatoi album hivyo si mbaya wakitoa single kwa muda mfupi then wanatoa nyingine
 
kwa sasa suala la ngoma nyingi mfululizo kwa msanii haliepukiki!

Maana hawatoi album hivyo si mbaya wakitoa single kwa muda mfupi then wanatoa nyingine
Basi hata ziwe na ubunifu sio kuimbaimba tu
 
True ....awe kama Mr.blue akidondosha dude linakuwa dude kweli ...mboga saba I think its a last edition
Hii kitu ndio huchangia wasanii wetu kupotea!

msanii kuishi na ngoma moja kwa mwaka ni hatari, huenda akatoa ngoma mbovu na yeye kuiamini akaiacha mwaka mzma unafikiri itakua vipi

Kwa sasa Mr blue katoa ngoma inaitwa siwezi, sidhani kama atakaa mwaka mzma tena akitegemea ngoma hii
 
Duh sijaiskia mkuu hiyo bado
 
Back
Top Bottom