Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,641
- 6,694
True ....awe kama Mr.blue akidondosha dude linakuwa dude kweli ...mboga saba I think its a last editionAnatoa nyimbo nyingi sana kwa kipindi kifupi kama tumeoana Leo, inabidi aweke interval ya muda au ndio kutokujiamini
kwa sasa suala la ngoma nyingi mfululizo kwa msanii haliepukiki!Anatoa nyimbo nyingi sana kwa kipindi kifupi kama tumeoana Leo, inabidi aweke interval ya muda au ndio kutokujiamini
Basi hata ziwe na ubunifu sio kuimbaimba tukwa sasa suala la ngoma nyingi mfululizo kwa msanii haliepukiki!
Maana hawatoi album hivyo si mbaya wakitoa single kwa muda mfupi then wanatoa nyingine
Hii kitu ndio huchangia wasanii wetu kupotea!True ....awe kama Mr.blue akidondosha dude linakuwa dude kweli ...mboga saba I think its a last edition
Duh sijaiskia mkuu hiyo badoHii kitu ndio huchangia wasanii wetu kupotea!
msanii kuishi na ngoma moja kwa mwaka ni hatari, huenda akatoa ngoma mbovu na yeye kuiamini akaiacha mwaka mzma unafikiri itakua vipi
Kwa sasa Mr blue katoa ngoma inaitwa siwezi, sidhani kama atakaa mwaka mzma tena akitegemea ngoma hii
Siwezi bila ya mwenyeziDuh sijaiskia mkuu hiyo bado