Habari wana jf!
Kama siku nne hivi nilisikiliza radio flani nikasiki denmark wa,egundua cure ya hiv!
Ila naona wataalam mbali mbali wanaipinga hii kitu!
Yeyote mwenye ufahamu juu ya swala hili atufungue imekaaje hii maana wazungu wanatuchezea kichwa huku ndugu zetu wanapata tabu na gonjwa hili.