[QUOTE="Makbel, post: 15425157, member: 51621"ii machine iko vizuri sana! Sijutii kuimiliki. Alafu ile sehemu ya line unayochomeka line ya simu inatumikaje?[/QUOTE]
weka line ukitaka unatumia kama moderm yan jiunge bundle kweny ile line then iweke inatumik k moderm
pia unawez ukatumia kama njia ya mawasiliano kupiga sim kutext nk boss