New ID

Lady N

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2009
Posts
1,914
Reaction score
132
napenda kuwafahamisha wanajamii kuwa nimebadili ID yangu kutoka NPL kwenda Lady N bcoz ID ya kwanza ilikuwa more complex .
 
napenda kuwafahamisha wanajamii kuwa nimebadili ID yangu kutoka NPL kwenda Lady N bcoz ID ya kwanza ilikuwa more complex .

kwani ya kwanza ilikuwa na complexity gani????????? we sema tu unataka ku-alert watu kuwa wewe ni she kwa kutuongezea hako kaneno "lady" baada ya kuona wenzio wanachombezwa kiaina hapa jamvini........... biashara matangazo ati.......................

teteheheeeeeeeee welcome, nitakutumia PM shortly na kama ni single tutaelewana vizuri zaidi.........................
 
Safi na wale ambao wanafikiri ID zao ni tatizo basi wafuate nyayo. Congrats.
 
Dah karibu sana Lady N nafrahi sana kwa kutujulisha.
 

LOL!!!
Sawa Lady N, tumeinakili
 
Mbona kuanzia mwanzo nafahamika ni she jamani? si hata kwenye status nimeandika!
 
Mbona kuanzia mwanzo nafahamika ni she jamani? si hata kwenye status nimeandika!

ileile ya mwanzo ilikuwa bomba. haya ya kujinadi hapa lady lady ni wizi mtupu. nitafrahisana lama utarudisha ya mwanzo. hata hivo umesaidia kujua kuwa "L' kwenye NPL ni lady, sijui p na L zinasimamia nini......................... if you dont mind.

any way, naweza kukuPM? lakini mie nataka zaidi ma-singles.......kugombana na watu siwezi................ tehteheeee...........
 
kumbe ID zatatiza watu humu eeh!
 
Hii nimeipenda kwani ni ushahidi wa wazi kwamba PM zitaongezeka, watu walikuwa wanatatizwa na ID ya mwanzo lakini sasa tambalale.
 
Am married my dia
 
Usijali mama uhuru ni wako na hii tumeipata. Safi tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…