New JF member

majuze

Member
Joined
Aug 20, 2014
Posts
32
Reaction score
8
Mimi ni mgeni katika jf,naomba tafadhali kwa wenyeji mnijuze juu ya neno ni PM, nini hasa mtu ana maanisha maana matangazo mengi mtu anadai utani PM
 
Mimi ni mgeni katika jf,naomba tafadhali kwa wenyeji mnijuze juu ya neno ni PM, nini hasa mtu ana maanisha maana matangazo mengi mtu anadai utani PM

PM ni kifupi cha Private Message............karibu sana jamvini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…