Kwa maneno hayo sina hata la kusema ila nashukuru tu maana hata dunia nzima ikinichukia ukanipenda wewe tu bado nitajihisi kama vile naimiliki dunia yote.
Anapatikana mitaa gani hapa JF?
AD umerushwa live ndo maana home sijakuona. Hongera sana.
oooohh that is so sweet...
lakini usijali atakaye kuchukia alikupenda sana akakosa la kufanya ikabidi akuchukia .
hahahhah lol
There are currently 13 users browsing this thread. (5 members and 8 guests)
Kuna jombi mmoja namuona hapa toka thread inaanza 10:36AM lakini mpaka usawa huu kauchuna tu sijui anawaza nini maana hata senksi hatoi au yuko PM?
mmmhhhhhh anaangalia tu picha ya AD tu hahahah lol
na PM yake bado naisubiria lol
mambo mazuri hayataki haraka....... hahhaah lol😛arty:
Offuuuuuuuuuuuuuu,afadhali nimepumua na wasiwasi kunitoka maana nilishaanza kushikwa na wivu hapa.
Hongera sana AD, kutokana na ulichokifanya nimekuingiza moja kwa moja katika kundi la watu wangu wa karibu sana.
dah una speed ya light bibie! Hebu nifanye stratergy za kukukamata... Au vp nipe mbinu make nafanya kazi nsijepoteza mkate wangu wa kila siku. Hongera
He he!! Asante mama!! Kwa kweli nitatabasamu kila wakati ninapoona mafanikio yako.
that is so sweet...
mmmhh watu kama nyie ndo mnafikaga mbali kwenye haya maisha...
asante sana mkuu:hug:....