Hongera Afro...una speed shosti si mchezo..keep it up darling
thumbs up for ya afro!
Mimi nakupongeza dada yangu kwa mchango wako. Maana hata hizo thanks zinavyoonyesha unacho posts kinakubalika sio bora ku-post. Congrats.
Kweli kabisa...tujipe tu moyo kwani hata kobe halali njiani pamoja na kutembea mdogo mdogo... Ila hawa wajukuu wamekuja na gia kubwa sana inayoleta changamoto zaidi!
big up to AD
JS umesharudi toka brasil?
hasira wapi? ntafute badae nina story...
asante sana babu:whoo:
Hii ni hatari kabisa!Hongera...
Hii party imeisha?? was only out for day.....
Hongera AD...hujambo lakini?
duuuuhhh we bado uko kipande hii ....
hahah lol
Nipo mama! si unajua tuena kukimbizana na hizi festive seasons! what a time of the year!!:bump2:
mmmmhhhh afadhali hata umesema mtu wangu..
mmmmhhh ni hatari espacialy kama bado uko kazini ndo balaa kabisa..
unatoka huku unakimbia kule..
muda wenyewe hautoshi...
mi x-mass ikisha pita do ntaanza ku relax kidogo...
lakini ingawa ndo busy time of the year but is also best time of the year....
im so glad to see u again ..You tell me na decembers!everyone is getting excited arghh! nice to be back again, Niliwamiss watu wangu wote wa JF esp AD! it seems like i have been away for a year loolll! Enjoy your shopping!:thumb:
im so glad to see u again ..
mmmhhhh mie wala sija kumiss weye..
mi nime miss huo mkono tu..
maana nikionaga huo lazima ni some hiyo poster hahahaha lol
we are very happy to c u again before x-mass so we can give you the blessings lol
mmmhhhh kuhusu hizo shopping tatizo ni haziishi....
asante sana mkuu welcome back.....
The golden hand huh! heheheheh!
You tell me na decembers!everyone is getting excited arghh! nice to be back again, Niliwamiss watu wangu wote wa JF esp AD! it seems like i have been away for a year loolll! Enjoy your shopping!:thumb: