Msanii anayefanya bongo hip hop r.o.m.a ametoa nyimbo mpya ambayo bado hajaipa jina,ila ni nyimbo nzuri sana yaani hajatafuna maneno.
Kawa diss masharobaro,CCM na huduma mbovu katika jamii.
NB: Unaweza sikiliza kupitia link zifuatazo
Roma - Mzalendo Halisi(BONGO HIP HOP) - BONGO STAR LINK