Msanii anayefanya bongo hip hop r.o.m.a ametoa nyimbo mpya ambayo bado hajaipa jina,ila ni nyimbo nzuri sana yaani hajatafuna maneno.
Kawa diss masharobaro,CCM na huduma mbovu katika jamii.
Sina uhakika sana ila jamaa yupo tongwe records na producer pale ni jryder sasa sijui kama kafanya yeye au mwingine.
Na jamaa kashaipa jina nyimbo inaitwa mathematics