New lady here

Chennei ghafla umeanza kuturusha inaonyesha wewe sio mgeni - jina ndio geni mtu yule yule
 
Karibu sana beautiful.
Je, Jamiiforums inakukosha kivipi? Kuna mtu au watu mahsusi wanaokukosha?
Yours Ngabu.

..acha kujipendekeza wewe kama kawaida yako,Chennai karibu sana kama una taka kufahamiana na king Koba usisite kunitupia PM.
 
Bibie karibu sana jamvini, nikikuuliza kama umeolwewa weye nitakuwa nimekiuka sheria za JF?

hujakiuka sheria, ruxa!

MwalimuZawadi-usiulize!Namjua mumewe!

usimtishe mwenzako, mwl make a move plz!

..acha kujipendekeza wewe kama kawaida yako,Chennai karibu sana kama una taka kufahamiana na king Koba usisite kunitupia PM.

JF inaonyesha kuna uhaba wa SHORIZZZZZ watu wanaanza kutunishiana misuli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…