new logo (mnyilinga platform)

Fxon

Member
Joined
Nov 29, 2022
Posts
7
Reaction score
7
Nimetengeneza hii leo kama unahitaji logo kali ni cheki tuongee

MIMI GHARAMA ZANGU ZA LOGO DESIGNING NI NAFUU SANA NA LOGO NI NZULI



WATAALAMU !
nahitaji msaada wa mawazo pamoja na mwongozo wa hili nina Tsh 300k (laki tatu) je naweza kupata laptop nzuli yenye uwezo wa kunisaidia Graphic designing na kutengeneza maudhui ya YOUTUBE nataka niwe (youtuber) in shot nina ubunifu wa kufanya kazi hizo lakini jinsi ya kupata vitendea kazi nahitaji muongozo pamoja na gharama zake kiujumla najua kuna wataalamu na wenye maduka ya vitu kama hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…