Wanajamvi habari zenu za saizi. bila kupoteza muda ni kwamba udsm wametoa medical examination form unayotakiwa kuidownload na kwenda kuijaza hospitalini au kwny kituo chochote cha afya kinachotambulika na serikali. pia unatakiwa ujaze nakala mbili za fomu hiyo ambapo moja itatumika kwny registration na nyigine kama kumbukumbu chuoni. form inapatikana hapa: www.udsm.ac.tz/announcements/announcement.php?id=501&intVariationID=1&szTitle=Current
KINGXVI usipoweza kuchangia point kwenye kila thread i will always reward u 'A MIDDLE FINGER'!Mkale act ka great thinker cio kila thread unaongea mashudu!
KINGXVI usipoweza kuchangia point kwenye kila thread i will always reward u 'A MIDDLE FINGER'!Mkale act ka great thinker cio kila thread unaongea mashudu!