Habari zenu wana jamii forum!
Naomba ukaribisho wenu na mapokezi yenu, siwezi kujiita new member kutokana kwamba i was here since 2015 but kukatokea vitu vikanifanya niwe mbali na mitandao ila now I'm back! Naomba ukaribisho wenu.
Natanguliza shukraan...