New member: mmenivuta nijiunge na jf

binti kilu

Member
Joined
Jan 9, 2014
Posts
6
Reaction score
2
Habari za humu ndani jamani,mi cku zote nilikua mtu wa kuchungulia sana jf bila ya kujiunga napita majukwaa yote nasoma,nafurahi nacheka pakujifunza najifunza kisha naondoka,lakini ckuwahi kuingia huku,juzi usiku nliingia nkajikuta yanayoendelea humu yananivuta zaidi nijiunge,and here I am,mnipokee mwenzenu hodiii
 

mi mwenyewe hapa mmgeni ila basi tu
 

dah Binti mashallah karibu sana
 

mi mwenyewe hapa mmgeni ila basi tu

Jamani wageni tupo wengi!
 
Umeingia vizuri ila mlango uliopitia sio ungeingilia mlango wa utambulisho huku ni kwa wapiga mehela.
 
Mimi Ni Mwenyeji Wa Hapa Jukwaa La Ujasiriamali, Kwasiku Kadhaa Nilikuwa Hapo Juu Kdoogo Kutokana Na Hili Sakata La Zitto Lakini Niliposikia Nyumbani Kunamgeni Nimerudi Nikukaribishe Karibu Dada, Karibu Ujasiliamali
 
binti kilu karibu murembo tufahamiane zaidi kwa pm eeeh...
 
Last edited by a moderator:

cku...???
ckuwa...??
nliingia ....??
nkajikuta ....???
ndiyo nini hicho, jifunze kuandika kitu fasaha wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…