New Member;Nini niwe nacho makini humu? Nimekuja rasmi

New Member;Nini niwe nacho makini humu? Nimekuja rasmi

Nganga Lyuma

Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
38
Reaction score
80
Baada ya mda mrefu kuperuzi JF kama mgeni nimeamua kuingia rasmi ndani baada ya kuona kuna mengi inawezekana nayakosa.
Naomba mnipokee na kunishauri tahadhari za kuchukua nikiwa humu.
 
Uache umbea mambo ya JF kuyapeleka kwa jiwe...
 
Back
Top Bottom