Nganga Lyuma
Member
- Jul 22, 2018
- 38
- 80
Ahsante nimekaribiaKaribu
Mimi mwenyewe mme wa mtu hatudhuriani.Wake za watu...
Nalindwa na Dam ya yesu mimi.uvae kondomu ukikutana kimwili na mwanaJF humu karibu wote afya zetu mgogoro
Yule ni dada wa taifa mbonaKumbe ni dada yako huyo. Ahsante kwa kutujuza.
uvae kondomu ukikutana kimwili na mwanaJF humu karibu wote afya zetu mgogoro
Mkuu jiwe ana malaika wake wanaoangaza kila pembe siyo mimi.Uache umbea mambo ya JF kuyapeleka kwa jiwe...
Shukran sana
umeniwahi mkuuWake za watu...
NikuzindueKaribu
Unizindueje Cole?[emoji15] [emoji38]Nikuzindue
We kubali uone uzinduzi unakuwajeUnizindueje Cole?[emoji15] [emoji38]