New member

Karibu JF, ukiwa hapa kukasirika na keyboard kawaida sana. Kuna kero za kumwaga, confusions za kumimina na ujinga wa kutosha. Tunaomba ushirikiano wako kwa kutokasirika la sivyo ukipigwa lock hurudi zaidi ya mwezi.
Karibu.
 
actually Mimi ni disminder nimequalify hilo mtaan wachana na mtandaoni so wala usijali,nashukuru sana kwa ukaribisho mzuri
 
Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…