OPTIMISTIC
Senior Member
- Mar 12, 2011
- 125
- 20
Hi guys!!
Nimejaribu kufuatilia gharama za kununua LED flat screen Dar na NRB, inaonekana bei kwa Kenya iko chini ya zaidi ya Tsh.200,000.00. Aina ya tv ni Sony bravia 32" new model make ya Malysia kwa Ksh. 32,000.00 eqv to Tsh.600,000.00. Hivi inatokana na nini kwamba TZ gharama ziko juu au mwenye uzoefu zaidi ni wapi unaweza pata kwa Dar and at how much?