new member

dirtyboy

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2017
Posts
380
Reaction score
669
Ni member mpya ndani ya jamii forum..nime weza kuwa mfwatiliaji na mpenzi wa jamii forum tangu 2016. Leo tarehe 16-9-2017 nimeona nisiwe mfuatiliji na msomaji tu bali niweze kushiriki katika post zote za humu natumaini wanajamii mtanipokea asante[emoji120]
 
Unajua kuwa wengi humu JF ni ktk "wasiojulikana", kwahiyo chunga!
 
Like 1, umeanza vyema, Jf kupata like hata moja ni nadra sana
 
Karibu mgeni...unapenda majukwaa yapi?
 
Ila username yako mmh.. Kumbuka maneno huumba
 
Ila username yako mmh.. Kumbuka maneno huumba
sawa mkuu ila nimejawa nafuraha baada ya kuiona comment yako..kwani nimtu niliye kuwa nafatilia post zako humu JF kabla ya kujiunga..pongezi zije kwako mku[emoji122]
 
sawa mkuu ila nimejawa nafuraha baada ya kuiona comment yako..kwani nimtu niliye kuwa nafatilia post zako humu JF kabla ya kujiunga..pongezi zije kwako mku[emoji122]
Asante sana karibu intelligence
 
Karibu ujumuike na jamaa zako / ndugu nyuma ya baobonya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…