New Member

New Member

Joined
Nov 9, 2017
Posts
34
Reaction score
32
Habarini Wanajamvi!
Ugeni wenu huu naomba mnipokee. Baada ya miaka mingi ya kuwa 'msomaji' pekee sasa nimeamua na mie kuwa msomaji+mchangiaji katika 'forum' hii pendwa. Naomba ushirikiano wenu. Ahsanteni[emoji4]
 
Kuna mtu humu ana roho kama Malaika, mwingi wa busara na mcheshi pia. Majina yenu yanafanana ila lako limenyumbuliwa zaidi. Anaitwa Heaven Sent

Bila shaka nawe utakuwa na mfanano wa jina lako.

Karibu Jukwaani Mkuu.
 
Daah glory be to God. Ubarikiwe sana mpendwa
 
Back
Top Bottom