New member

New member

Joined
Mar 15, 2018
Posts
15
Reaction score
5
Hellow Jf
Mimi ni mgeni humu
Naomba kuuliza, Jf huu mtandao upo Tz tu, je mwanzilishi wake ni mtanzania? Huwa najiuliza mara nyingi sijapataga majibu
 
Hellow Jf
Mimi ni mgeni humu
Naomba kuuliza, Jf huu mtandao upo Tz tu, je mwanzilishi wake ni mtanzania? Huwa najiuliza mara nyingi sijapataga majibu
Karibu.....

Chura ipo??? ... Halafu hujaweka namba yako kwa ajili ya mawasiliano
 
Mgeni karibu

Changia ulicho kielewa

Usicho kielewa achana nacho

Jifunze unacho weza kujifunza

Tufundishe unacho kijua

Heshimu wadau wote

Karibu sana
 
Back
Top Bottom