Napenda kuwasalimu wanajf wote pamoja na uongozi wa JamiiForums.Nimekuwa mfuatiliaj wa Jf kwa zaidi ya mwaka ila leo nimeona niwe mwanafamilia ili kwa pamoja tujenge taifa letu.
Asanteni sana.