New member

New member

Karibu ukaribie,upewe kiti ukalie na kitako utulie.
Nalog off
 
Avatar Inanipa Tabu Sana Kutambua Jinsia Mkuuu...Tuanzie Na Hapo Kwenye Jinsia Kabla Ya Namba Mkuu
 
Basi viwatu vipo humu JF vinajifanya vimejifichaaaa...eti kila mgeni akija ni kujifanya kudiss na kuwacheka wageni tu..Shame on you, aina ya ushamba mwingine huo. Ukihitajika popote utakamatika tu hata ujiite pundamizigo.
 
Huh..!!Tena ivo Bablai?!
 
Basi viwatu vipo humu JF vinajifanya vimejifichaaaa...eti kila mgeni akija ni kujifanya kudiss na kuwacheka wageni tu..Shame on you, aina ya ushamba mwingine huo. Ukihitajika popote utakamatika tu hata ujiite pundamizigo.
Tatizo lenu mnakuja kishamba shamba. Kwetu ni burudani
 
Back
Top Bottom