[emoji2][emoji1]
Kiriba kipya pombe ya zamani, id mpya member wa zamaniSiku hizi new member lazima niwapekue kwanza.. Wengine hujisahau kuwa wamo ndani tayari hivyo hubisha hodi tena
Jr[emoji769]
daaa mkuu inaonekana form one ulipata tabu sana πππ vip Usha zoea wajuvi wa mambo wa JFMimi ni mgeni mahali hapa naombeni ushirikiano wenu!! Big up great thinkers.....[emoji123][emoji123][emoji123]
Sent using Jamii Forums mobile app