Naomba kujitambulisha kama mgeni lakini mm si mgeni hapa account ndio ngeni ila mm nafuatilia jf kitambo sasa niko na miaka 11 umri wa mtu huo now nimeamu kufungua account ili nami niweze kushiriki baadhi ya maada
karibu sana me pia mgeni humu kwa kuwa na account ila nilikuwa nikifatilia kwa mda mrefu lkn sasa nimeamua kufungua akaunt kwajili ya kushiriki vilivyo humu chumbani