Welcome welcome welcome wel... What welcome.
Karibu sana mkuu nakupa na offer ya kusoma short hiiEwaaa tena mekuja kusoma story zako zngne[emoji2][emoji2][emoji2]ile ya #Endless pain ilikua nzur sana hope nitapata zingine[emoji4]
Duh kumbe ni new ID na sio new member.Ewaaa tena mekuja kusoma story zako zngne[emoji2][emoji2][emoji2]ile ya #Endless pain ilikua nzur sana hope nitapata zingine[emoji4]
Okay hebu ni PM picha yako basi nikufahamu.[emoji81][emoji81][emoji81] hapana mie nilikua kama guest yaan kuna ile unabrowse jamii forum bila kua na account.. so ndo nkaona nijiunge chief
Prime MinisterNdo nn PM