New member

Karibu mtoto mzuri Lisa
Unaishi wapi?
Una miaka mingapi?
Upo kwenye mahusiano?
Hobby yako ni Nini?
Elimu yako na vitambulisho vyako ni muhimu kuambatanisha.
Bila kusahau kapicha mtoto Lisa

Kwako kipenzi Watu8
 
Hi everyone my name is Lissa
Helo Lisa,

You are so welcome.

This is mwandende.
A seaferer.

Cool guy.

Gentleman.

Trust only me here but no body.

Mwandende always takes good care of new comers like you.

I will be there for you Lisa whenever you call my name.

My PM always open for you.
Thanks.
 

Thanks Mwandende
 
Ni sawasawa na mtu aliyeingia kwenye nyumba ya mtu bila taarifa alafu akaishi kwa miaka 4 mfululizo ndio akakumbuka kupiga hodi.
Au ulikuwa unasubiri nini reception?
 
Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…