New Member

New Member

all about

Member
Joined
May 28, 2022
Posts
69
Reaction score
103
Hello JF members mimi ni mgeni humu but nafurahi sana kuwa nanyi.

NI MTAALAM WA MAMBO YA FUATAYO:
  • digital
  • medical
  • movie reviews
  • mobile
Kama unatatizo au swali kwenye hizo sekta kuwa free kuuliza (but kupitia thread)

Pia najua humu kuna watu wenye ujuzi zaidi yangu hivyo pia nahitaji kujifunza pia. Tusaidiane, tupeane ujuzi.

NOTE: NAPATIKANA ZAID KWA JUKWA LA TECH
 
Sema ukweli. Ni new member au new ID? Huu mwandiko sio wamgeni kabisaaa!
 
Back
Top Bottom