all about Member Joined May 28, 2022 Posts 69 Reaction score 103 May 28, 2022 #1 Hello JF members mimi ni mgeni humu but nafurahi sana kuwa nanyi. NI MTAALAM WA MAMBO YA FUATAYO: digital medical movie reviews mobile Kama unatatizo au swali kwenye hizo sekta kuwa free kuuliza (but kupitia thread) Pia najua humu kuna watu wenye ujuzi zaidi yangu hivyo pia nahitaji kujifunza pia. Tusaidiane, tupeane ujuzi. NOTE: NAPATIKANA ZAID KWA JUKWA LA TECH
Hello JF members mimi ni mgeni humu but nafurahi sana kuwa nanyi. NI MTAALAM WA MAMBO YA FUATAYO: digital medical movie reviews mobile Kama unatatizo au swali kwenye hizo sekta kuwa free kuuliza (but kupitia thread) Pia najua humu kuna watu wenye ujuzi zaidi yangu hivyo pia nahitaji kujifunza pia. Tusaidiane, tupeane ujuzi. NOTE: NAPATIKANA ZAID KWA JUKWA LA TECH
fullcup JF-Expert Member Joined Jun 21, 2016 Posts 809 Reaction score 2,204 May 28, 2022 #2 Sema ukweli. Ni new member au new ID? Huu mwandiko sio wamgeni kabisaaa!
all about Member Joined May 28, 2022 Posts 69 Reaction score 103 May 28, 2022 Thread starter #3 fullcup said: Sema ukweli. Ni new member au new ID? Huu mwandiko sio wamgeni kabisaaa! Click to expand... new member i swear
fullcup said: Sema ukweli. Ni new member au new ID? Huu mwandiko sio wamgeni kabisaaa! Click to expand... new member i swear
fullcup JF-Expert Member Joined Jun 21, 2016 Posts 809 Reaction score 2,204 May 28, 2022 #4 all about said: new member i swear Click to expand... You are warmly welcome my friend
all about Member Joined May 28, 2022 Posts 69 Reaction score 103 May 29, 2022 Thread starter #5 fullcup said: You are warmly welcome my friend Click to expand... [emoji120][emoji120]
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 May 29, 2022 #6 Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
all about Member Joined May 28, 2022 Posts 69 Reaction score 103 May 29, 2022 Thread starter #7 Ulimakafu said: Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi. Click to expand... asant sana
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 May 29, 2022 #8 Kila la kheri...