nywele moja
JF-Expert Member
- Jun 14, 2022
- 251
- 349
AsanteKaribu
Asante sanaKaribu sana JamiiForums...
Yeyooooo ,habarini za umu ndani Mimi new member ,natumai mmenipokea kwa nkono mmoja([emoji3577] peace)
AsanteKaribu
Asante sana nashukuruKaribu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
AsanteKila la kheri...
Hahahahaha Yani zipo nyingi Sana tu mkuu...Wahenga walinena "Akili ni nywele"
Sasa mkuu una nywele moja zopo kweli huko juu??
Duuuuu!!hili swali mbona kama gumu....Kwanini unataka kukaribishwa kwa mkono mmoja na si kwa mikono miwili?
KaribuuuYeyooooo ,habarini za umu ndani Mimi new member ,natumai mmenipokea kwa nkono mmoja([emoji3577] peace)