New member

Rock art

Member
Joined
Apr 20, 2023
Posts
40
Reaction score
21
Habari zenu wakongwe wa JF?

Nimekuwa nikifuatilia JF toka 2013 kwa kupitia freebasic bila kujibu hoja. Nimenufaika sana kupitia hoja za members wa JF, kwa kipindi cha 2013 mpaka 2023 sikuwa na simu inayo sapoti JF app.

Leo nimeingia humu ndani kama member rasmi, baada ya kupata smart phone yenye JF app, nawaombeni mnipokee mgeni wenu kama wageni wa majumbani mwenu.

Nimalizie kwa kuwashukuru waanzilishi wa JF pamoja na members wote.

Asanteni.....
 
Freebasic enzi izo free bando na Tigo kabla tozo na upuuzi haujaanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…