New member

mnyonyaji

Member
Joined
Dec 26, 2021
Posts
19
Reaction score
13
Hope tutabadilishana mawazo lengo ni kujifunza nawapenda wote.
 
Niliwahi kufungua I'd ya "Ananinyonya" mods wakaikataa hii I'd 2014... sijui mods mliona hilo jina Lina ukakasi Gani!?

Vipi wakuu...mbona huyu mmempa!? Invisible Paw au mnyonyaji anawanyonya!?...

Samahani lakini!!
 
Karibu sana JamiiForums...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…