bienvenue, umetuletea nini?
mbona sijakusoma mzee,"that is no good..au ndio wale waliajiriwa?" kivipi? na hayo mambo ya kijani yametoka wapi?nimemkaribisha tu na kumuuliza ametuletea nini wanaJamii forums yeye kama mgeni.Kama hujaelewa maana ya bienvenue ni 'karibu',that's french.No, that is no good...au ndio wale waliajiriwa? I dont like to believe this..mwache aje, aingie...kama ni mlengo wa kijani, then he can feel himself a dirty head,spoit mind and useless. Vinginevyo, karb sana kijana, usiogope...leta hoja usilete mambo ya kijani hapa..