Karibu sana mkubwa ila naomba uwe analytical na objective ktk issues za kisiasa, kiuchumi na kijamii usiwe zuzu kama, HAMY-D, Fouza, Zermacopolo ,RTZ1 na mazuzu wengine ila usiwe pia ENEZA sera ya CHADEMA KWA UKOMBOZI WA MTZ,pinga kwa nguvu zote udini, ukabila, ukanda na utahira ya akili kama wa NAPE NA NCHEMBA,
KARIBU SANA.