Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,111
- 2,781
Wapenzi wa Suzuki Jimny tufurahishe macho.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si uende TU pale Pugu Road utaipata kwa 40 milWapenzi wa Suzuki Jimny tufurahishe macho.View attachment 1872066View attachment 1872067
Zinatoka mwaka kesho mkuuHivi zile milango mitano bado hazijatoka?
Hahahaha hatari sana... Yani hapo unakamata Harrier, RAV4 na IST ya mchepukoyaani ninunue icho kidude kwa 40m? si bora nichukue cruza hata kama ya zamani, kitaenda kijijini kumsalimia bibi icho kweli?
Kanaenda kijijini mkuuyaani ninunue icho kidude kwa 40m? si bora nichukue cruza hata kama ya zamani, kitaenda kijijini kumsalimia bibi icho kweli?
Pale ni dola 29,000 mkuu. Hii inajumuisha VAT had registration.Si uende TU pale Pugu Road utaipata kwa 40 mil
Pamoja na kodi ni kama 60Myaani ninunue icho kidude kwa 40m? si bora nichukue cruza hata kama ya zamani, kitaenda kijijini kumsalimia bibi icho kweli?
G wagon madame bossInakaribia kufanana na discovery kimuonekano
Unatoa mwenyewe nylon za kwenye sit mzee, hizi siyo used ndiyo maana ni ghaliyaani ninunue icho kidude kwa 40m? si bora nichukue cruza hata kama ya zamani, kitaenda kijijini kumsalimia bibi icho kweli?
Land cruiser inapofika, na hii Jimny inafika.yaani ninunue icho kidude kwa 40m? si bora nichukue cruza hata kama ya zamani, kitaenda kijijini kumsalimia bibi icho kweli?
Milango mitano zitakua nzuri sana. Zinaenda rasmi kuua soko la Suzuki Escudo/ grand Vitara maana hizi Escudo latest zimekaa kisoccer momZinatoka mwaka kesho mkuu
Mkuu kuanzia generation ya 3 hazitoki na cc 650, ni cc 1300, 1400 na 1500cc 650 ni engine ndogo sana nadhani kuna utofauti mkubwa sana landcruaser.
IST ya nani?Hahahaha hatari sana... Yani hapo unakamata Harrier, RAV4 na IST ya mchepuko