Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
shida nini, una 60m unanunua icho kidude kukwepa gharama ya mafuta, badala ya kuchukua harrier itakayotumia mafuta chini ya hicho kwa mwaka na itafika popote walau.Pamoja na kodi ni kama 60M
hiyo ni cc 650, kwenye mwendo unatakiwa kupaki pembeni wenye magari wapite ndio uendelee na safari yako, la sivyo watakuzoa nacho.Land cruiser inapofika, na hii Jimny inafika.
Angalia kenye sheet ya kodi TRA cc ni 1001-1500cc 650 ni engine ndogo sana nadhani kuna utofauti mkubwa sana landcruaser.
Chek slip ya TRA cc 1001-1500hiyo ni cc 650, kwenye mwendo unatakiwa kupaki pembeni wenye magari wapite ndio uendelee na safari yako, la sivyo watakuzoa nacho.
Mkuu ina maana inagonga gari?Hahahaha hatari sana... Yani hapo unakamata Harrier, RAV4 na IST ya mchepuko
Ist ya mchepukoIST ya nani?