Malila uliyoyanena ni ya kweli kabisa
kuna sector ambazo serekali ingekuwa imeweka msukumo naamini ingewatoa watanganyika wengi,,kila siku nafikiria UVUVI, UFUGAJI HUSUSANI UZALISHAJI WA MAZIWA, ASALI, MBUZI=KONDOO wanasoko kubwa sana Arabuni mayai. Tatizo watawala wetu wamekosa dira tu hakuna lingine
kaka naomba utupe taarifa zaidi hawa mifugo wanapatikana wapi na kwa bei gani? Ukimwgaga taarifa hapa utakuwa umesaidia wengi saana,,,mie nilikuwa nataka ngombe kama wawili waliopandwa nitakushukuru ukini PM
Ubarikiwe saana
Kaka nashukuru saana
hawa ngombe ni aina gani mkuu
naweza pata Borani ambao wamechanganyika?
Ukisoma uzi wa ufugaji kuku aliotoa Mzalendo unaweza kucheka, kwa sababu alisema ukweli kwamba alianza na kuku mmoja tena jogoo,baadae alimla. Hii style ni nzuri kwa sababu, kwanza inakuondoa kwenye nadharia na kukupeleka kwenye vitendo. Imebidi nii-copy na kui-paste kwangu. Nimenunua ng`ombe mmoja tu chotara aliyepandishwa. Kwa wale wanaopenda kufuga ng`ombe basi tuwasiliane hapa hapa jamvini. Mzee aliyeniuzia mimi ana ng`ombe wengi wazuri na bei yake ni nzuri.
Kaka nashukuru saana
hawa ngombe ni aina gani mkuu
naweza pata Borani ambao wamechanganyika?
Safi sana mkuu,sasa mkuranga kubwa lakini naomba maelekezo zaidi niko mbioni soon ntamaliza ujenzi wa banda langu nipate japo mmoja wa kuanzia aka newmzalendo style tuko wengi ,...Hawa ng`ombe wako Mkuranga, bei yake ni laki sita tu bila dalali. Ukitaka wa kienyeji ndama mdogo andaa laki tatu,lakini chotara ndama mdogo andaa laki nne tu.
Safi sana mkuu,sasa mkuranga kubwa lakini naomba maelekezo zaidi niko mbioni soon ntamaliza ujenzi wa banda langu nipate japo mmoja wa kuanzia aka newmzalendo style tuko wengi ,...
Just out of curiosity Mkuu Malila. Hivi hao ng'ombe wa Mkuranga wanatoa maziwa takribani lita ngapi kwa siku?
Shukrani Mkuu, huyu Ngombe anaweza akawa msaada mkubwa sana kwenye kulea familia hapa mjini, lakini naona kama hajakaa vizuri sana kibiashara. Kuna ndugu yangu yeye aliagiza Friesian Cow mmoja kutoka Kenya akampeleka Moshi, anatoa 35 ltrs per day. naona wazee wake hawamsumbui tena na hela ya kujikimu. Naona kama aina hii imekaa vizuri kibiashara, kama una eneo zuri na unakaa sehemu isiyo na Joto kama DsmHuyu Mkulima alisema mzao wa kwanza unaweza kupata lita tano asubuhi na jioni pia kama unamlisha vizuri. Mkulima huyu yy hakumui maziwa kwa biashara, ni yake na watoto wake. Nilichojifunza ni kwamba mpango wa maziwa hana,hata pale home kwake hata maji ya kunywa mifugo yake hana. Ila ana ng`ombe wengi sana na wazuri kiafya.
Shukrani Mkuu, huyu Ngombe anaweza akawa msaada mkubwa sana kwenye kulea familia hapa mjini, lakini naona kama hajakaa vizuri sana kibiashara. Kuna ndugu yangu yeye aliagiza Friesian Cow mmoja kutoka Kenya akampeleka Moshi, anatoa 35 ltrs per day. naona wazee wake hawamsumbui tena na hela ya kujikimu. Naona kama aina hii imekaa vizuri kibiashara, kama una eneo zuri na unakaa sehemu isiyo na Joto kama Dsm
Friesian nina wajua walipo, nina uwezo wa kuwachukua, lakini ni delicate sana kwa mazingira ya pwani. Pili, sasa hivi nafanya in-house training kwa vijana wangu ili wajue kukaa na ng`ombe wa maziwa,tatu nataka huyu Chotara awe ndio mlipa mshahara kwao. Sasa nikiona wamemudu vizuri kumtunza huyu Chotara, naleta aina nzuri toka Ruvu, kisha tunagawana. Maziwa ya Chotara yao na huyu mpya yangu. Chotara akizaa mtoto wa kwanza wangu, wa pili wa kijana wangu. Hii ndio plan yangu.
I salute you, your Honour.Kwa ridhaa yako, naomba nireplicate hii model sehemu fulani, lakini kabla ya kufika huko nitakuwa nimeshakutafuta ili nijifunze kitu fulani hata kama ni kwa kugharamia. Aksante
mkuu Malila; i salute you man, sasa mimi nitakutafuta kuanzia tarehe 25 ili tubadilishane mawazo...
Nina ndoto ya kua mjasiriamali
Kama uko Bongo, basi mimi nitakuwepo kuanzia 28 february mpaka 27 march, ktk kipindi hicho naweza kukutana na wewe bila shida. Ktk mambo haya ya kupeana uzoefu, gharama hazitakiwi kuwepo kabisa. Naamini tutaonana. Hiyo itumie tu ndugu, mafanikio yako ndio mafanikio yangu na jamii kwa ujumla.