ROGERSHINE
Senior Member
- Aug 15, 2012
- 129
- 82
mbona mnaleta taarifa nusu nusu?Hatimaye wizara ya elimu imetangaza matokeo ya kidato cha pili huku mkoa wa dar es salaam ukionekana ni mkoa ulioongoza kufelisha wanafunzi
source=wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi
acheni ushabiki wa kijinga kupenda kuangalia mabaya tu hao watoto walio feli walikuwa na changamoto nyingi sana hasa kwa hapa dar . so hakuna sababu ya kuchekelea zaidi ya kutafuta source ya hao waliofeli na solution