New::nisaidie kupata hii baiskeli tafadhari,.

ligolyser

Senior Member
Joined
May 9, 2013
Posts
155
Reaction score
15
wadau naombeni msaada wa wapi naweza kuinunua hii baisker kwa bei nafuu popote tanzania?? niliwai kua nayo mwanzo kuna mtu aliniletea toka zanzibar mpaka naimiliki nilitumia tsh 180000.,sasa nw hayupo tanzania so kama unajua wapi nitapata basi naomba tuwasiliane.
 

Attachments

  • $T2eC16ZHJHcFFkE!u1(EBRZbVH8mhQ~~60_12.jpg
    33.1 KB · Views: 93
watafute wafanyabiashara wa used uwape hiyo tenda watakutafutia, mpya huwezi pata kwa bei hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…