Car4Sale New Nissan civilian bus for sale

Nissan Civilian huwa zinanunuliwa na watu wanaotaka kuingia kwenye biashara ya magari kwa mara ya kwanza. Au anayeagiza
Civilian basi mgeni wa magari huyo.
Ni magari bei rahisi kununua lakini yana gharama sana kuyaendesha. Spea ghali sana. Si ajabu jamaa analiuza 17m.
Hivyo anayetaka kufanya biashara anunue Toyota.
 
Hizi picha hazitoshi kumshawishi mteja.Piga upya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…