Wakuu, mkisaidiwa mrudi kuja kutoa feedback kama mlifanikiwa au la.kuna pc virus sijui ni mpya au mimi ndio ameingia kwa pc yangu, ni ananisumbua, kama ameshaingia kwenye pc yako, fungua internet explorer then kwenye tittle bar ya internet explorer una kuta imejiandika kwa herufi kubwa, lord raul -cool, ana appear ktk kila window ya explorer utayofungua!
naomba ushauri wa kumtoa uyu virus kwa aliyeingia kwa pc yake na akaweza mtoa!
Wakuu, mkisaidiwa mrudi kuja kutoa feedback kama mlifanikiwa au la.
Download malwarebytes itamtoa huyo spyware.. link hii hapa > http://en.kioskea.net/telecharger/telecharger-105-malwarebytes-anti-malware
malwarebytes ni anty spyware/ malware nzuri sana ilinisaidi siku moja kaingia mdudu
Kuna mdudu fulani anatumia securty alert ya windows. Inakupa alert kuwa kuna you machine is not ptected click this to remove the threat kumbe uki click ndo unakuwa unamsambaza mdudu.
More than anti virus this one is also a very good anti malware,spyware threat tool
mimi nime 'download' na kuitumia ku 'scan' lakini huyu 'lord raul cool' hajatoka. sijui nifanye nini zaidi
macinkus
If i were you ningedowload Firefox au gogle chrome . then nikadisable Internte explorer.
Umewai kufanya Regstry Edit? au Competency yako kwenye PC unaigrup vipi. Advanced user, Avarage but competent user . au just end user? From this information unaweza kupewa solution kulingana na mazingira yako?