Miaka ile kulikuwa na mavitabu yale ya njano yana namba za simu za watu binafsi, makampuni na mashirika mbalimbali.
Ni kwamba watu hawaoni fursa hii au ni kwamba sisi tumeendelea saaana? Hata online directory imeshindikana? Au bado vinatolewa mimi tu ndiyo sijaviona? Mbona huko dunia ya kwanza bado wanafanya?
Au kuna mtu anaona namba yake ni siri?