Wadau wetu,
Tunapokea maombi mapya tena sasa kwa wale wanaotaka kuanzisha radio sehemu mbalimbali hapa Tanzania. Saivi tuna miradi 3 na radio hizi kufikia January zitakuwa zimeanza. Karibuni wengine, kumbuka gharama ya kukamilisha vifaa vyote.
Kumbuka unaweza kuanzisha radio yenye kati ya Tshs 20mil nakuendelea.
Karibuni tuwasiliane:
consultancy@radiotz.com