Hehehe!! Umehangaika siku hizi tatu ukitafuta pa kutokea baada ya ile list kuonyesha mlivyo maskini nchi yote halafu vinono vyote vimemilikiwa na Waarabu.
Na bado mtanyooka tu...
Vinono vipi? Wale ni waagizaji wa bidhaa
Walikua ni waagizaji wa
Sukari (sasa ni bodi ya sukari yenyewe ndio inaagiza tena kwa kibali maalum)
Madawa (sasa ni serikali yenyewe kupitia msd ndio wanaagiza no more middleman)
Magari yote ya serikali (sasa ni serikali yenyewe no more middleman)
Tender za serikali vifaa vya TANESCO (sasa ni serikali yenyewe)
Mafuta ya kula (Is the second most common commodity after Petroleum oil π’, sasa serikali imepiga marufuku na kusema mafuta yote ya chakula yazalishwe ndani)
Walikua wanadalalia korosho, pamba, kahawa na mazao ya wa kulima huko nje ya nchi (middleman) lakini serikali ya JPM saivi imewakata, ni wizara ndio inaregulate soko la mazao na mazao yanauzwa direct kwa Kiwanda huko nje ya nchi na sio tena hao madalali
Wengi wao walikua wakwepa kodi bandarini
Sasa nenda kaangalie upya baada ya economic reformations alizofanya JPM kama bado wapo on top of that hawamiliki resources zozote Tanzania, in fact Tanzania hakuna monopoly ya resources kama Kenya labda useme monopoly ya market.
Matajiri wazawa wapo kibao na ndio wenye viwanda kama uyoga vinaanzishwa.