FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
hahaha kwa mwanadamu mchungu eee
FirstLady,
Huu utani ni wa mrengo wa mfume dume wa wale wanaoamini kwamba karani ni mtu wa kubanwa mbavu na mabosi tu.
Sikutegemea na wewe kama mwanamke uufurahie, uuchekee chekee, hasa ukizingatia kwamba maudhui yake ni kuhusu kuhalalisha wanaume wasio waaminifu kwenye ndoa zao.
Ni mjinga tu anayeweza kusema mambo kama hayo juu ya mke wa mtu, tena mbele yake. Lolote litakalompata ni halali yake. Atakuwa anavuna matunda ya upumbavu wake!
NB: Hii hadithi umeitoa wapi na wewe au unatupatia good night?
hhahahaa habari za asubuhi ..mie mwenye secretary mheshimiwa . hapa duniani ukiwa unanuna ovyo utapunguza siku za kuishi
Utani haupunguzi pumzi ya maisha yangu ,hauondoi kipatao changu....... life goes on
FirstLady,
Huu utani ni wa mrengo wa mfume dume wa wale wanaoamini kwamba karani ni mtu wa kubanwa mbavu na mabosi tu.
Sikutegemea na wewe kama mwanamke uufurahie, uuchekee chekee, hasa ukizingatia kwamba maudhui yake ni kuhusu kuhalalisha wanaume wasio waaminifu kwenye ndoa zao.
mwenyewe upo serious wakti huu ni utani.........utakufa mapema wewe. Acha uanaharakati.