Wakuu! habari za jioni. Naomba kuuliza kama kuna yeyote amewahi kufanya transactions/kununua phones ONLINE kwa hii Company called TELECOM ARENA GENERAL TRADE "Omar bin Al Falah - Sales Manager". ( wanadai wako Dubai!)
Mwenye ufahamu au experience na hawa watu, please naomba anijuze. Ahsanteni sana, nawatakieni jioni njema.