Halafu kila siku kuna watu wanakuja kutuambia kwamba Tanzania hatuna wataalam. Wataalam wapo sana, tatizo ni kwamba wana siasa wetu ndo wamegeuka kuwa watalaam na wao ndiyo wenye maamuzi ya mwisho. Matokeo yake maamuzi hayo ya mwisho wamekuwa wakiyatumia vibaya kwa kuwa wanajua kwamba hakuna chochote ambacho kitafanyika.
Ukifunua ma-file huko kwenye hizi ofisi za serikali unaweza kukuta madudu mengi sana na kuanza kujiuliza kwanini huyu mtu mpaka leo bado yuko huru wakati alisababisha madudu na hasara kubwa sana?
Who signed the documents? Principal SATATE Attorney.
Na hii imekaaje Mkuu?
"...Tanzania suffered a loss of shillings 11,572,148.00"
Sio 11,572,148.00 shillings ?!?
Mkuu Invisible hii ni nyundo na nimeshaona kuna kila dalili za Mahakama kuishiwa nguvu za kiume na wasipoangalia huku tunakokwenda hakuna utulivu hata chembe mpk kieleweke. Wananchi sasa hivi sio wajinga tena. Kama kawa JF iendelee kuchonga barabara.
Tatizo ni kuwa watuhumiwa wanajifanya hawaoni wala hawatambui hata kukiwa na ushahidi wa nyaraka!
Na hii imekaaje Mkuu?
"...Tanzania suffered a loss of shillings 11,572,148.00"
Sio 11,572,148.00 shillings ?!?
Waliacha lini Ujinga, Count on me Kunta, 2010, Chenge, Lowasa, Msabaha, RA, Mramba na wengine watarudi Bungeni kwa Kishindo!
Kaka Kunta we still have a very long safari na Watanzania huwezi kuwawekea dhamana ikiwa wanatumhumiawa kwa kosa la Ujinga.
Asante
Heshima mbele mkuu usiyeonekana......! thanks a million times man!
Hivi hawa kina Mramba, Yona, Mgonja hicho kiburi cha kutosikia hata ushauri wa macollegues wao kilitoka wapi?---who else is benind all these? Kuna watendaji wazuri tu kama Mh. Abdisalaam, Nyero, Mrindiko walitoa angalizo juu ya hawa Stewart na mwingine(Nyero) akasema kabisa hawa si washirika wazuri kupewa hiyo tender...lakini wapi! Na mbali na hiyo TRA ambao wamepewa jukumu la kuhakikisha mapato ya serikali yanakusanywa ipasavyo na kusimamia sheria na taritibu za kodi, waka muonya waziri na bwana Mgonja....wapi wao wakatupilia mbali ushauri huo na kufanya walilo ona ni bora kwa maslahi yao binafsi!
On Kagoda......................................