Mkuu, haya uloandika ni TETESI ama? Binafsi sijaamini kama ni sahihi, kama waweza kuniondolea dukuduku hili itapendezaWana JF,
Mimi nimesikia kuwa hawa KAGODA Walichota hii mihela kwa ajili ya Kampeni ya Dr Kigoda kuwania kiti cha Urais mwaka 2005, hili likiwa ni chaguo la Mkapa, Sasa na baada ya Mkapa chaguo lake kushindwa wakaona hawa Wapinzani wakichukua hii Sirikali itakuwa mbaya zaidi in so speaking kwa kuwa mihela hii Rostam alikuwa na Access nayo basi akaimwagia katika Kampeni ya Swahiba wake Mzee JK.
Kitu kinachomshinda kwasasa JK kuchukua hatua ni baada ya kuja kuambiwa kuwa ile ile Mihela ya KAGODA ndiyo iliyotumika kumuweka yeye pale Plot NO 1 Magogoni ! Atawasaliti wote na kuwatosa wote lakini sio Rostam !
Wana JF kama kuna maoni zaidi ya haya,............Mwageni mambo hadharani !
naona kama unawaswas, mapambano ndo kwanzaaaaaaaa yanaanza na bado hakujakucha vizuri, hakuna jiwe litakaloachwa .............laluta continua....Kuna mzalendo ameuliza swali muhimu sana. Hivi kwa ushahidi wote huu unaomwaga hapa, kama waendesha mashitaka wetu na serikali wanajizungusha zungusha kuwapeleka wahusika kunanihii kwenye debe kwa sababu zinazojulika, hakuna kikundi cha watu kinachoweza kuendesha kesi hii ili hatimaye kuwatia hatiani vibaka na mavibaka hawa??? Vyama vya upinzani, wanasheria, NGO's, JamboForums etc...?? Kwa sababu mwisho wa siku tutajikuta hata sisi JF ni kelele nyiingi na madata meeengi lakini hakuna faida inayoonekana. just my two cents...!
oh ma frend, it sounds treasonous..........huna imani na demokrasia eee...!?Madudu ya wafuasi wa Sultani CCM ni mengi sana , tatizo kwenye sheria wapo wao ,kwenye mahakama wapo wao kona zote wameweka vimelea ,yaani hata katiba inawalinda wao.
Kazi iliyoko mbele ni kuwaondoa kwa nguvu tu wakitaka wasitake.
Naongeza Bonus hapa:
mkuu inv. Nimekukubali! Yaani maushaidi ya kumwaga bado serikali inajiuma kwenye ishu ya kagoda?!
principal satate attorney.
Wakuu hii ingawa ni typological error, ving'ang'anizi wanaweza ikataa hiyo wakidai hakuna cheo cha principal satate attorney!!
... mwisho wa siku ni kama Muvi za Kinaijeria ambazo hazikosi mganga,hospitali na mchungaji!!