Binafsi naamini, bado ubembelezaji wetu wa kiafrika, unafaa sana, kama vile kufungwa mgongoni, ama kuwekwa mikononi akiwa anaangali juu halafu unaipeleka mikono kushoto kulia x2 x2 taratibux2 na mwishowe, kama kashiba atalala tu. Ila akiwa na njaa, utabembeleza sana, mtoto atagoma kunyamaza, zaidi kelele zitaongezeka.
Ahsante!